1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Migogoro

Taarifa Ya Habari Ya Asubuhi: 29.03.2024

29 Machi 2024

Mahakama ya Kimataifa ya Haki ICJ yaitaka Israel kuchukua hatua za kuboresha hali ya misaada ya kibinaadamu huko Gaza. Urusi yatumia kura yake ya turufu kuzuia kurefushwa kwa jopo la UM linalohusika na vikwazo vya nyuklia kwa Korea Kaskazini. Watu 45 wamekufa kufuatia ajali ya basi nchini Afrika Kusini.

https://p.dw.com/p/4eF3K
Ruka sehemu inayofuata Zaidi kutoka kipindi hiki
Ruka sehemu inayofuata Kuhusu kipindi

Kuhusu kipindi

Symbolbild Weltwirtschaft Global Economy Globalisierung
Picha: Kheng Ho Toh/PantherMedia/imago images

Asubuhi: Taarifa ya Habari, saa 12:00 (Afrika Mashariki)

Pata Taarifa ya Habari ya Asubuhi, saa 12:00 (Afrika Mashariki)