1. main content
  2. main navigation
  3. extra content
  4. head navigation
  5. search
  6. Choose form 30 Languages


 

 | 09.02.2010 | 10:00 UTC

Uchaguzi wa Ukraine, huru na wa haki

KIEV

Mwanasiasa wa  upinzani nchini Ukraine, Victor Yanukovich ndiye mshindi dhahiri wa uchaguzi uliokamilika siku ya jumapili. Yanukovich anaongoza kwa asilimia tatu zaidi baada ya aslimia 99 ya kura kuhesabiwa dhidi ya mpinzani wake  waziri mkuu Yulia Tymoshenko.

Wasimamizi wa kimataifa wametoa tathmini yao na kuutaja uchaguzi huo ulikuwa huru na wa haki, tangazo ambalo linampa Yanukovich nafasi nzuri zaidi  ya kutangazwa rasmi mshindi .

Waziri mkuu Yulia Tymoshenko ana wabunge wengi zaidi katika bunge la Ukraine na huenda kukawa na mvutano zaidi wa uongozi.

 



 
Picture of the Day
ImageOfTheDay

DW-TV EUROPE live

Journal - Nachrichten mit Wirtschaft

We're sorry, due to legal issues this content can not be transmitted as live stream.

If you are inside the United States, it is still possible for you to enjoy DW-TV. For more information, please click here.

Wafanyakazi
Waliochutama kutoka kushoto: Sekione Kitojo,Halima Nyanza,Josephat Charo na Ramadhani Ali. Waliosimama kutoka Kushoto: Susanne Bergers-Rose,Abdul Mtullya,Saumu Mwasimba,Mohamed Abdulrahman,Othman Miraji, Andrea Schmidt,Thelma Mwadzaya, Mohamed Dahman,Oumilkher Hamidou,Samia Othman na Nina Markgraf

Kiswahili On Your Desktop via RSS
RSS