1. main content
  2. main navigation
  3. extra content
  4. head navigation
  5. search
  6. Choose form 30 Languages


 

Anza | 18.06.2010

SHINDANO JIPYA

 

 

Wengi husema kuwa Vyombo vya habari hutoa taarifa za mambo mabaya tu kuhusu Afrika, lakini  kwa msaada wako msikilizaji hili tunaweza kulibadili.

Kwa hiyo Idhaa ya kiswahili ya Deutsche Welle inakupa nafasi ya kututumia taarifa njema, yakiwa ni Maelezo marefu juu ya Maendeleo na  watu walio na Ushawishi wa kuleta mabadiliko na mafanikio katika jamii nchini mwako, nasi tutautumia mchango wako kwenye mfululizo wa matangazo yetu.

Iwapo taarifa yako itakuwa  miongoni mwa zilizo bora zaidi, basi huenda ukawa mshindi wa Simu ya mkononi, miongoni mwa zawadi nyingine tele.

Unaweza kutuma mchango wako kwa kutumia anuani ifuatayo:Deutsche Welle, Idhaa ya Kiswahili, 53110 Bonn, Ujerumani .

Au  Sanduku la Posta  70087 Dar es Salaam Tanzania

Na  Sanduku la Posta 47504 00100 Nairobi Kenya.

Au pia unaweza kututumia barua pepe kupitia

Kiswahili@dw-world.de

Tarehe ya mwisho ni  Agosti mosi mwaka huu !!!

 
 

Send us an e-mail »Send »Print »

More on the topic

 
Share this article


 
Wafanyakazi
Waliochutama kutoka kushoto: Sekione Kitojo,Halima Nyanza,Josephat Charo na Ramadhani Ali. Waliosimama kutoka Kushoto: Susanne Bergers-Rose,Abdul Mtullya,Saumu Mwasimba,Mohamed Abdulrahman,Othman Miraji, Andrea Schmidt,Thelma Mwadzaya, Mohamed Dahman,Oumilkher Hamidou,Samia Othman na Nina Markgraf

DW-TV EUROPE live

Im Focus

We're sorry, due to legal issues this content can not be transmitted as live stream.

If you are inside the United States, it is still possible for you to enjoy DW-TV. For more information, please click here.

Tamasha la Beethoven
Beethovenfest Bonn
Kiswahili On Your Desktop via RSS
RSS